Mkutano wa wadau wa habari ulioandaliwa na Press Club Pemba

KATIBU Mkuu wa Pemba Press Club Khatib Juma Mjaja, akitoa maelezo Mchache kwa washiriki wa kongamano la wadau wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu, lililoandaliwa la PPC kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya habari Tanzania (UTPC), huko katika ukumbi wa Uwanja wa Michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)