PPC waadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari Pemba.

IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA WAANDISHI wa habari kisiwani Pemba, wamekumbushwa kuwa, iwapo wataandika habari bila ya upendeleo, zinakuwa daraja la kufikia maendeleo ya kweli kwa jamii iliyowazunguruka. Kauli hiyo imetolewa na Katibu tawala mkoa wa kaskazini Pemba Khatib Juma Mjaja, alipokuwa akizungumza na waandishi hao na wadu wao, kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Maktaba…

PPC wamlilia Magufuli.

  NA ABDI SULEIMAN. KLABU ya Waandishi wa habari Kisiwnai Pemba (PEMBA PRESS CLUB) imesema Tanzania imompoteza kiongozi shupavu aliyekuwa mstari wambele kutetea haki za wanyonge na walemavu. Hayo yameelzwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo Bakari Mussa Juma wakati alipokua akisaini kitabu cha Maombolezo ya aliyekua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.Jaohn…