SALAMU ZA RAMBIRAMBI
SALAMU ZA RAMBIRAMBI Uongozi wa Klabu ya waandishi wa Habari Pemba (Pemba Press Club – PPC) tunatoa salamu za rambirambi kwa familia ya mjane wa Hayati, Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli, watoto, ndugu na jamaa kwa kuondokewa na mpendwa wao na wananchi wote wa Tanzania kwa pigo hili kubwa. Ni msiba mzito ambao hatukutarajia, sote tunafahamu jinsi…