PPC yafanya tathmini mradi wa sauti yangu, amani yangu, hatma yangu.
NA HAJI NASSOR, PEMBA. MRADI wa miezi sita wa ‘sauti yangu, amani yangu, hatma yangu’ unaotekelezwa na Klabu ya waandishi wa habari wa Pemba PPC, tayari umemaliza robo ya kwanza kwa mafanikio makubwa. Akizungumza katika mkutano wa tathmini, Mratibu wa mradi huo Ali Mbarouk Omar ,mbele ya wasimamizi wa waandishi wa habari ‘mentors’ na…