Waandishi wa habari Kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini kwenye kutumia kalamu na sauti zao katika kuhubiri amani.

NA KHADIJA KOMBO-PEMBA. Waandishi wa habari Kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini kwenye kutumia kalamu na sauti zao katika kuhubiri amani, kwani wao wanauwezo mkubwa wa kuwahamasisha wananchi juu ya kuiendeleza amani iliyopo. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jumiya ya waandishi wa Habari Kisiwani Pemba PPC Bakar Mussa Juma wakati alipokuwa akifungua mafunzo ya siku…

WAANDISHI watakiwa kutokua chanzo cha migogoro

NA MWANDISHI WETU. MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Pemba na Mkufunzi wa masuala ya habari Said Mohamed Ali, amesema waandishi ni nyenzo muhimu ya kuepusha migogoro na kujenga amani katika nchi, ili kufikia huko wanapaswa kuwa makini katika habari wanazoziandika kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii. Alisema iwapo waandishi hao watatumia vyema kalamu zao katika…

PPC waadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari Pemba.

IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA WAANDISHI wa habari kisiwani Pemba, wamekumbushwa kuwa, iwapo wataandika habari bila ya upendeleo, zinakuwa daraja la kufikia maendeleo ya kweli kwa jamii iliyowazunguruka. Kauli hiyo imetolewa na Katibu tawala mkoa wa kaskazini Pemba Khatib Juma Mjaja, alipokuwa akizungumza na waandishi hao na wadu wao, kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Maktaba…