PPC waadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari Pemba.
IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA WAANDISHI wa habari kisiwani Pemba, wamekumbushwa kuwa, iwapo wataandika habari bila ya upendeleo, zinakuwa daraja la kufikia maendeleo ya kweli kwa jamii iliyowazunguruka. Kauli hiyo imetolewa na Katibu tawala mkoa wa kaskazini Pemba Khatib Juma Mjaja, alipokuwa akizungumza na waandishi hao na wadu wao, kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Maktaba…