WASTAAFU WATARAJIWA WAPEWA MBINU YA KUJIKWAMUWA NA UMASKINI BAADA YA MUDA WA UTUMISHI
PEMBA
WATUMISHI wa Umma kutoka Idara mbali mbali za Serikali ambao wanatarajiwa kumaliza muda wao wa utumishi hivi karibuni Kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini juu ya matumizi ya fedha ambazo watapatiwa (kiinua mgongo) ili ziweze kuwasaidia katika maisha ya baada wa Utumishi wa Umma na fedha hizo kuwa endelevu.
(more…)