Tuesday, November 26

Matukio katika picha juu ya mazishi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiuteremsha Mwili wa Marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kutoka katika Horkopta Malumu ya Jeshi hilo baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Pemba Airport, kwa ajili ya kuupeleka kijijini kwao Mtambwe kwa ajili ya mazishi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanznaia (JWTZ), wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu aliyakua Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba Airport, kwa ajili ya kupelekwa kijijini kwao Mtambwe kwa mazishi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba wakiwa wamejipanga barabarani na kuulaki Mwili wa Marehemu aliyekua Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, wakati ulipokua ukipita katika maeneo mbali mbali ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akiwaongoza viongozi wa chama cha ACT Wazalendo na wananchi mbali mbali wa kisiwa cha Pemba, katika salama maalumu ya kumsalia aliyekua makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, sala iliyofanyika uwanja wa michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasilia katika kijiji cha Mtambwe Nyali Wilaya ya Wete, kwa ajili ya kushiriki katika mazishi ya aliyekua Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyefariki dunia Hospita;li ya Muhimbili jijini Dar Salam.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kuwasili Mtambwe Nyali kwenye mazishi ya aliyekua Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWILI wa aliyekua Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad ukiwa umewasili katika nyumba yake ya milele, huko kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete kwa ajili ya kuzikwa .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaji Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiweka udongo katika kaburi la marehemu aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyezikwa kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
RAIS Mstaafu wa awamu ya sita wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume, akiweka udongo katika kaburi la marehemu aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyezikwa kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MUFTI mkuu wa Zanzibar Shekhe Salehe Omar Kabi, akiweka udongo katika kaburi la marehemu aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyezikwa kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
RAIS Msataafu wa awamu ya saba wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Alhaji Dk.Ali Mohammed Seif, akiweka udongo katika kaburi la marehemu aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyezikwa kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdalla, akiweka udongo katika kaburi la marehemu aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, aliyezikwa kijijini kwao Mtambwe nyali Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)