MADAKTARI Bingwa wa Kitengo cha Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo ya kupongezwa kwa kufanikisha upasuaji wa Raia wa Nigeria Bi. Kelesh Belinda, uliofanywa katika Kitengo cha Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu ikiongozwa na Dkt. Said Idrisa Ahmada. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza Madaktari Bingwa Wazalendo wa Hospital ya Mnazi Mmoja wa Kitengo cha Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (hawapo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Share