Saturday, March 15

Watendaji Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais watakiwa kuendeleza mashirikiano

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Dkt Saada Mkuya akipokea Mafaili ya Ofisi kutoka kwa Kaimu Waziri Dkt Khalid Salum Mohamed ambae ni Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Uratibu wa shughuli za Baraza la Wawakilishi