Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa nyumba za makazi ya waliyokuwa wakazi wa eneo la Magomeni Quarters Aprili 20, 2021, jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA,) Mbunifu Majengo. Daud Kondoro, wakati alipokagua nyumba za Magomeni Quarters.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia moja ya chumba, wakati alipokagua mradi wa nyumba za makazi ya waliyokuwa wakazi wa eneo hilo, Magomeni Quarters
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa nyumba za makazi ya waliyokuwa wakazi wa eneo la Magomeni Quarters Aprili 20, 2021, jijini Dar es salaam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)