
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akiwa katika ziara yake Kisiwapanza Kisiwani Pemba, akiwa na Maofisa Elimu wa Wizara yake. 

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar mhe Simai.Mohammed Said akiwa na.Afisa Mdhamini Wa.Wizara hiyo Pemba, Mwalim Mohammed Nassor Salim wa.kwanza kushoto, wakipata maelezo kwa.daktari.dhamana wa.kituo cha Afya.Kisiwapanza. juu ya maradhi yanayoripotiwa kutoka kwa.wanafunzi wa skuli ya kisiwapanza.
waziri wa.Elimu na.mafunzo ya Amali.Zanzibar mhe Simai Mohammed.Said.akikagua.
Na Maulid Yussuf WEMA