Thursday, January 9

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya kwa ajili ya ziara ya siku mbiliĀ