RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa makundi mbalimbali wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba, na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mussa Mahmoud Wadi.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika katika futari maalum ilioandalia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Wananchi wa makundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pemba iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja ya Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
MWANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Bw. Omar Khamis Othman akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa huo, wakati wa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyoianda kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba iliofanyika katika uwanja wa Watoto Kibirinzi Chakechake Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa makundi mbalimbali wa Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKALIMALI wa lugha za alama akitowa ishara kwa vitendo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Makundi maalum katika ukumbi wa kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Bi.Hidaya Omar (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na (kushoto kwa Mama ) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakiitikia dua ikisomwa na Bi. Hidaya Omar, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia baadhi ya Wanawake wa Mkoa wa Kusini Pemba walijumuika katika hafla ya futari maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Al-Rahmaan Gombani Chakechake Kisiwani Pemba.
WANANCHI wa Gombani Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Al Rahmaan Gombani Chakechake Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Gombani Chakechake Pemba baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Al Rahmaan Gombani.
(Picha na Ikulu)