RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Shamba la Kilimo cha Mpira katika eneo la Selemu, akiwa katika ziara yake kutembelea shamba hilo, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar.Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A”Unguja Bi. Suzan Peter Kunambi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar. Bi. Maryam Juma Abdalla akitowa maelezo ya Shamba la Mpira la Selemu, wakati wa ziara yake kutembelea mashamba hayo ya mpira Selemu na Kichwele.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Mustafa Idrisa Kitwana na Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo.Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo ya michoro ya mipaka ya Shamba la Mpira Selemu, kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo.Bi. Maryam Juma Abdalla, alipofanya ziara kutembelea shamba hilo lilioko katika eneo la Kijiji cha Selemu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar. Mhe.Dkt. Soud Nahoda Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia ramani ya mipaka ya Shamba la Mpira la Kichwele wakati wa ziara yake kutembelea shamba hilo, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar.Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Maryam Juma Abdalla, wakiwa katika eneo kilichokuwa kiwanda cha kukaushia mpira baada ya kuvuna katika shamba hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyakazi na Waandishi wa habari, wakati wa ziara yake kutembelea mashamba ya mpira katika eneo la Selemu na Kichwele
BAADHI ya Wafanyakazi wa Shamba la Mpira katika Kijiji cha Kichwele Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea shamba leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Shamba la Mpira katika Kijiji cha Kichwele Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea mashamba ya mpira ya Selemu na Kichwele leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Shamba la Kilimo cha Mpira katika Kijiji cha Kichwele Mkoa wa Kaskazini Unguja akitowa agizo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Bi. Maryam Juma Abdalla wakati wa ziara yake hiyo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar.Mhe Omar Said Shaban na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.