Friday, January 24

PICHA: CAG akabidhi ripoti ya uchunguzi wa hesabu kwa Rais Dr Hussein Mwinyi, Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Hesabu za Serikali na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar.Dkt.Othman Abbas Ali, hafla hiyo ya kukabidhi imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KAIMU Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali  akisoma Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kabla ya kumkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumushi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KAIMU Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali akisisitiza jabo wakati akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wakuu wa mikoa wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Vitabu vya Ripoti ya Uchunguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu Zanzibar,baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2021.(Picha na Ikulu)