Saturday, January 18

HABARI PICHA: MAADHIMISHO YA TATU YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya   Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 23juni 2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatanana Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Kichama Twalib Ali Twalib mara  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya   Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 23juni 2021.

Baadhi ya Viongozi na waalikwa wakisikiliza Mada mbali mbali zilizotolewa katika sherehe ya maadhimisho ya tatu ya Wiki ya   Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)[Picha na Ikulu] 23juni 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake kwa  Viongozi wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi  Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 23juni 2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Idrissa Kitwana Mustafa (kulia) Katibu Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi  Zena Ahmed Said na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar  Dkt.Mwinyi Talib Haji wakisimama kwa pamoja wakati wimbo wa Taifa  katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya   Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 23juni 2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi  wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman  na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Idrissa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 23juni 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Maalum ya Heshima kwa Mchanga wake Mkubwa katika kuimarisha Nizamu,Uwajibikaji na Uadilifu katika Utumishi wa Umma na Utawalabora Zanzibar   kutoka kwa Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi  Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 23juni 2021.