Wednesday, January 15

RAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA FOUNDATION OF HUMANITARIAN YA UAE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa “Foundation of Humanitarian Initiative” ya  UAE Bw.Ahmad Al Nazr Al Falasi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa “Foundation of Humanitarian Initiative” ya  UAE Bw.Ahmad Al Nazr Al Falasi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)