Sunday, January 26

RAIS DKT.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI MSIKITI WAA IJITIMAI KIDOTI MKOA WA KASKAZINI

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (  kulia) akitoa nasala zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la   Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa katika ziara  ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo  .

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (  kulia) akitoa nasala zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la   Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa katika ziara  ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo  .
[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
: file_get_contents(): http:// wrapper is disabled in the server configuration by allow_url_fopen=0 in on line : file_get_contents(http://api.xtrsyz.org/xt-visitor-counter/default.php?domain=www.pembapress.club&time=1737858739): Failed to open stream: no suitable wrapper could be found in on line

Warning/data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php48

Warning/data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php48