Thursday, January 16

RAIS DKT. MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA HIVI KARIBUNI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak  kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]  02/08/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab  kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Habiba Hassan  Omar  kuwa Katibu Mkuu,  Anayeshuhulikia masuala ya (Uchumi  na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Fatma Marisho   kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto katika   hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Khamis Kona  Khamis  kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.