MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Matar Zahor Massoud, akifungua mafunzo ya maofisa Utumishi wa Taasisi za serikali Pemba, yalioyoandaliwa na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Pemba. BAADHI ya maofisa Utumishi kutoka Taasisi za serikali Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa Mafunzo kwa maafisa hao, mafunzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Pemba AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Pemba Halima Khamis Ali, akifunga mafunzo kwa maofisa Utumishi kutoka Taasisi za Serikali Pemba, mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo Gombani AFISA Rasilimali watu Hamad Juma Hassan akiwasilisha mada kwa maofisa Utumishi, juu ya wajibu wa afisa hao kusimamia haki za watumishi, wakati wa mafunzo kwa maofisa utumishi yaliofanyika Gombani AFISA Miundo ya Taasisi Rehema Alawi Abdalla, akiwasilisha Mada juu ya Mkataba wa huduma kwa wateja, katika mafunzo kwa Maofisa Utumishi wa Taasisi za Serikali Pemba yaliyofanyika Gombani AFISA Utumishi kutoka Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Pemba Fatma Salum Matta, akichangia mada wakati wa mafunzo kwa maafisa Utumishi wa Taasisi za Serikali Pemba (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share