Thursday, January 16

RAIS SAMIA AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE

 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU