Thursday, January 16

Mchezo ya Kirafiki wa Kitaifa Wachezaji wa Zamani Kati ya Timu ya Veterani wa Unguja na Veterani wa Pemba Mchezo Uliofanyika Katika Uwanja wa Gombani Pemba.

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Tanzania Inocent Haule wa Timu ya Veterani wa Unguja akiwania mpira na Mchezaji wa Timu ya Veterani ya Pemba Suleiman Juma wakati wa mchezo wa kirafiti wa Wachezaji wa Zanzibar wa Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Gombani Timu ya Veterani Pemba imeshinda kwa Penenti kwa bao.4-2.