KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Gabriel Migire (kulia), akimsikiliza mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nahat Mohamed Mahafoudh, wakati akitoa historia ya Manara wa wa kuongozea meli uliopo kigomasha Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara ya Mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar MKURUGENZI wa huduma za Meli kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT Kepteni Abdullah Mwingamno, akitoa maelezo ya kitaalamu juu ya umuhimu wa mnara wakuongezea meli uliopo Kigomasha, kwa meli za kimataifa zinazopita nje ya kisiwa cha Pemba, wakati wa ziara ya Mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar BAADHI ya watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT, wakibadilishana maelezo baada ya kuwasili katika mnara wa kuongozea meli uliopo kigomasha Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara ya Mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Amour Hamil Bakari, akimfahamisha jambo Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT Gabriel Migire, wakati wa ziara ya Mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT Gabriel Migire akisikiliza swali kutoka kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, juu ya ziara yao ya mashirikiano baina ya watendaji kutoka wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Amour Hamil Bakar, akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari, baada ya kumalizika kwa ziara ya mashauriano kati ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share