Friday, February 28

Rais Mhe Samia ahutubia Umoja wa Mataifa UNGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021.