Saturday, January 18

RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA HISTORIA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.

Baadhi ya viongozi mbalimbali wakifatilia hituba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akifungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Bi Awena Sinani Masoud aliyekua mke wa Hayati Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kufungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume walipokutana kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Dodoma alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar

 

PICHA NA IKULU