Thursday, January 16

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban pamoja na Mwenyekiti wa Pan  African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipowasili Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition”.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban (katikati) na Mwenyekiti wa Pan  African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition”.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Baadhi ya washiriki  wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition”wakiwa katika Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo  leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alifungua Kongamano hilo.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Mwenyekiti wa Pan  African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipokuwa akitoa maelezo yake katika  Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition” lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) katika Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano hilo lililifanyika leo Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  leo katika  Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki  Mhe.Martin Ngoga (kulia) akitoa akitoa salam zake    katika Ufunguzi wa   Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition” ambapo   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) amelifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition”  leo  katika  ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa  Taasisi  za Umma “The Third  Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition”  leo  katika  ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.