Thursday, January 16

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ireland Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake  Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O’Neill  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu]    08/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O’Neill  alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar  .Picha na Ikulu]    08/11/2021.

Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O’Neill  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake  Balozi wa  baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.