Thursday, January 16

Sanjay Dutt awasili Zanzibar

Muigizaji mashuhuri kutoka India Sanjay Dutt atuwa Zanzibar na kupokelewa kwa furaha na Mawaziri wawili  wa Biashara na Elimu.
 Muigizaji mashuhuri kutoka nchini India Sanjay Sutt akivishwa taji la maua wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Aman Karume Jana