Thursday, January 16

Waziri atoa ufafanuzi matumizi ya Fedha za Mkopo kutoka IMF

Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika katika Wizara yake, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara hiyo Migombani Mjini Zanzibar.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbambali wakimsikiliza Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita wakati alipokuwa kitoa ufafanuzi Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika katika Wizara yake, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara hiyo Migombani Mjini Zanzibar.

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar