WAKULIMA wa Mwani katika kijiji cha Makangale Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, sasa wamebuni mbinu mpya ya uwanikaji wa Zao hilo juu ya kamba, ili kuunusuru mwani huo kuingia michanga, vumbi na takataka pale wanapoanika chini, pichani mmoja ya wananchi wa kijiji hicho akianika mwani huo WATENDAJI kutoka kamisheni ya Utalii Pemba (kulia) wakizungumza na Mkuu wa Huduma kutoka Hoteli ya The Manta Resot Shaban Abdalla (kushoto), wakati wa ziara ya uhamasishaji ukataji wa leseni za Mahoteli ya kitalii Pemba BIDHAA ya Mwani ikiwa umeanikwa juu ya kamba kwa lengo la kunusuru kuingia uchafu, pale wanapouwanika chini ikizingatiwa mwani ni chakula kama ilivyo vyakula vyengine (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share