Thursday, January 16

Waziri Mhe Rahma Kassim Ali Amekutana na Kuzungumza na Wadau wa Usafiri wa Vyombo vya Baharini Zanzibar.

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na akisikiliza jambo wakati alipokutana na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar jana

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Ikraam Sealine Co Ltd, Abdulghafour  Ismail akichangia katika kikao cha wadau wa usafiri baharini kilichojadili  namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar jana.

WADAU mbalimbali wa usafiri baharini wakiwa katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar


WADAU mbalimbali wa usafiri baharini wakiwa katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar

(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).