Friday, January 17

MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGAJI WA MAFUNZO YA MAHAKIMU PEMBA

JAJI Mstaafu Mahakama Kuu Tanzania Robert Visent Makaramba, akiwasilisha mada katika Mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MTENDAJI Mkuu Msaidizi wa Mahakama Kuu Pemba Thuwaiba Amour Haji, akitoa neno la shukuran wakati wa mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib (kulia), akimkabidhi cheti Rehema Juma Khamis mara baada ya kuhitimu mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akifunga mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)