Thursday, January 16

HABARI PICHA:Waziri Lela awafariji wahanga na kukabidhi vyoo kwa Skuli ya Ole msingi na Sekondari.

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Lela Mohamed Mussa (katikati), akimfariji Rabia Ali Ameir mmoja ya waathirika wakuanguka katika kidungu huko Pujini, wakati wa kilele cha siku ya Utalii Duniani Mwaka jana
MWAKILISHI wa kuteuliwa viti Maalumu wasomi pia ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akizungumza na walimu wazazi na wafunzi wa skuli ya Ole na Sekondari na Msingi, katika hafala ya kukabidhi matundu 12 ya vyoo kwa skuli ya Msingi Ole
MWAKILISHI wa kuteuliwa viti Maalumu wasomi pia ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akifungua mlango wa vyoo vya wanafunzi wanaume wa skuli ya Msingi Ole, ikiwa ni ishara ya uzinduzi na kukabidhi vyoo hivyo kwa uongozi wa skuli hiyo.

PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.