Thursday, January 16

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MARIJANI RESORT& SPA PWANI MCHANGANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa hoteli ya  Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (wa tatu kulia) Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi .[Picha na Ikulu] 06/01/22.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto)akiondoa kitambaa kufungua  hoteli ya  Marijani Resort &Spa katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 06/01/22. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto)wakifuatana na  Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na kupata maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa hoteli ya  Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik  Ramadhan Soraga .[Picha na Ikulu] 06/01/22.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto)wakifuatana na  Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakifuatana kabla ya kuagana baada ya kumalizika kwa hafla ya  Ufunguzi wa hoteli ya  Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 06/01/22.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe   Mama Marium Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Rahim Balu baada ya  Ufunguzi wa hoteli ya  Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja