Saturday, March 15

HABARI PICHA:Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Ameweka Jiwe la Msingi Kituo cha Afya Kendwa.

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
MKURUGENZI Mtendaji wa Tasaf Tanzania Ledslaus Mwamanga, akitoa salamu kutoka Tasaf Makaomakuu katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na baraza la Wawakilishi Zanziba Thabit Idarus Faina, akitoa maelezo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahora Massoud, akitoa salamu za wananchi wa Mkoa huo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratib na Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MBUNGE wa Jimbo la Kiwani Rashid Abdalla Rashid, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassima Majaliwa Majaliwa, akipata maelezo juu ya ujenzi wa kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, kutoka kwa msimamizi wa ujenzi kutoka wakala wa Majengio ya Serikali Said Malik, wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi kituo hiyo huko kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa, akisalimiana na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara baada ya kuwasili katika shehia ya Kendwa kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)