Friday, January 17

Rais Dk Hussein Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje wa UAE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyiki leo 18-1-2022.(kulia kwa Rais) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe.Mohammed Abdalla Mtonga.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje.Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika kumuona na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi mazungumzo hayo yamefanyika leo.18-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar wake  Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi  maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi leo.18-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi leo.18-1-2022.(Picha na Ikulu)