Siasa za Zanzibar daima hazijawahi kuwa legelege. Hata kabla ya Mapinduzi ya 1964 zilikuwa siasa za ushindani mkubwa, lakini baada ya kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi 1992 ushindani wa kisiasa ukarudi kama awali.
ANGALIA MAKALA HAYA KWA KUBOFYA HAPO CHINI