Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume akiwa muanzilishi wa Gazeti la Zanzibar leo akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 20 zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt.Ali Mwinyikai muanzilishi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi zawadi Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kushoto) aliyeanzisha Gazeti la Zanzibar leo katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Cheti aliyekuwa mjumbe wa bodi Bw.Said Salim katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibarmgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la zanzibar leo wakati wa sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar ambapo muanzilishi wa Gazeti hilo Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alikuwepo katika sherehe hiyo.[Picha na Ikulu].