Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF) Jijini Paris
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF) Jijini Paris
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Wageni alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay.