Friday, November 15

HABARI PICHA :Waziri Haroun atekeleza ahadi yake.

MSAIDIZI katibu wa Mufti Pemba Shekha Said Ahmad Mohamed, akizungumza na uongozi wa mskiti Munauwar Mfikiwa, wakati wahafla ya kukabidhi misahafu 200 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi  na Utawala bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa ufunguzi wa mskiti huo
MSAIDIZI Katibu wa Mufti Pemba Shekh Said Ahmad Mohamed (kulia) akimkabidhi Kaimu Imamu wa masjidi Munauwara Mfikiwa Khamis Uledi(kushoto) misahafu 200, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi  na Utawala bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa ufunguzi wa mskiti huo
KAIMU imamu wa Masjid Munauwara Mfikiwa Khamis Uledi, akizungumza mara baada ya kupokea misahafu 200 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi  na Utawala bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa ufunguzi wa mskiti huo
MUONEKANO wa Masjid Munauwara Mfikiwa uliofunguliwa mwishoni mwa mwaka jana na Waziri wan chi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)