MENEJA Masoko Zantel Rukia Iddi Mtingwa, akizungumza katika mkutano wa kuiitambulisha huduma ya LIPA KWA SIMU, mkutano uliowashirikisha wafanyabiashara na mawalaka wa huduma ya EzyPesa huko Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba. MKUU wa Mauzo na usambazaji Zantel Pemba Said Massoud Ali, akiwasilisha mada ya LIPA KWA SIMU kwa wafanyabiashara na mawakala wa huduma ya EzyPesa, mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba. AFISA wa EzyPesa Pemba Salama Mzee, akitoa maelezo kwa wafanyabiashara na Mawalaka wa huduma ya Ezypesa, jinsi gani unaweza kutumia huduma ya LIPA KWA SIMU inavyofanya kazi katika mkutano wa wafanyabiashara na mawalaka huduma hiyo, mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba AFISA wa EzyPesa Pemba Salama Mzee, akitoa maelezo kwa wafanyabiashara na Mawalaka wa huduma ya EzyPesa Pemba, jinsi gani wanaweza kuingia katika mfumo wa LIPA KWA SIMU mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake Kisiwani. AFISA wa EzyPesa Pemba Salama Mzee, akiskani application kwa kutumia QR Code, katika mkutano wa wafanyabiashara na Mawakala wa huduma ya EzyPesa, mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake Pemba. MFANYABIASHARA Kisiwani Pemba Nadhir Juma Kombo, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara na Mawakala wa huduma ya EzyPesa, mkutano uliofanyika Gombani Chake Chake Kisiwani. MENEJA Masoko Zantel Rukia Iddi Mtingwa akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari Pemba, katika hafla ya kuiitambulisha huduma ya LIPA KWA SIMU, mkutano uliowashirikisha wafanyabiashara na mawalaka wa huduma ya EzyPesa huko Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba. MFANYABIASHARA Abdalla Ali Hamad akitoa ushuhuda jinsi gani huduma ya LIPA KWA SIMU inavyofanya kazi na kutoka faida, katika mkutano wa wafanyabiashara na mawakala wa huduma ya EzyPesa huko Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba. Share