Thursday, January 9

HABARI PICHA: DC MICHEWENI akishiriki uwekaji wa zege katika hospitali mpya inayojengwa micheweni

Hivi ndivyo Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mh Mgeni Khatib Yahya akiomgozana na Viongozi mbalimbali wakishiriki katika ujenzi wa Hospitali mpya ya Wilaya ya Michewen leo hii ambapo kazi ya kumwaga Zege ikiendelea