Wednesday, January 1

HABARI PICHA: JET watembelea hifadhi ya Jamii ya Burungwe .

KATIBU wa Hifadhi ya jamii Burungwe WMA Benson Mwaise, akiwaonyesha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET)jinsi wananchi wanavyotumia ziwa Burungwe kwa shuhuli za kilimo, wakati wa ziara ya kutembelea hifadhi hiyo iliyoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET) kupitia mradi wa USAID “Tuhifadhi Maliasili
WAANDISHI wa habari za Mazingira Tanzania kutoka(JET), wakizungumza na Katibu wa Hifadhi ya Jamii ya Burungwe WMA Benson Mwaise, juu ya umuhimu wa ziwa Burungwe katika hifadhi hiyo, wakati wa ziara ya kutembelea hifadhi hiyo iliyoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET) kupitia mradi wa USAID “Tuhifadhi Maliasili”

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, BABATI)