Thursday, January 16

HABARI PICHA: Kongamano la siku ya Kiswahili Duniani lafanyika kisiwani Pemba.

AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Pemba Mfamau Lali Mfamau, akifungua kongamano la Kisiwani Kisiwani Pemba, kongamano lilofanyika mjini chake chake chini ya taasisi ya Yohcare.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
WADAU wa Kiswahili Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini Kongamano la siku ya Kiswahili Duniani, kongamano hilo limefanyika mjini Chake chake na kuandaliwa na taasisi ya Yohcare.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)