Sunday, March 2

MKUTANO WA JUMUIYA YA KIMATAIFA YA WACHAKATA NAFAKA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni leo kuufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka.[Picha na Ikulu] 26/10/2022. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiwa na Mwenyekiti wa   Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA  2022) Bw.Mounir Bakhresa (kulia),pamoja na Viongozi wengiune akiwepo Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Sais Shaabani (katikati) kabla ya kuufungua leo  katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 26/10/2022. 

 Baadhi ya wadau wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA  2022) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa  Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 26/10/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA  2022) uliofanyika katika ukumbi wa  Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 26/10/2022.Baadhi ya wadau wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA  2022) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa  Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 26/10/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  akipokea zawadi kutoka kwa  Mwenyekiti wa   Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA  2022) Bw.Mounir Bakhresa (kulia),mara baada ya kuufungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa   Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkurugenzi wa Kanda ya IAOM 2022 Bw.Ali Habaj .[Picha na Ikulu] 26/10/2022.