Wednesday, January 15

KAMATI MAALUM YA VYAMA VYA SIASA KUHUSU DEMOKRASIA KUKABIDHI RIPOTI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimkabidhi cheti Mhe.Balozi Dkt. Amina Salum  Ali Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano  wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa ,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Vuai Ali Vuai kutoka CCM,mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya mapendekezo ya Kamati Maalum iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano  wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa  kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia)  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Jussa Ismail Ladhu kutoka ACT Wazalendo,mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Ameir Hassan Ameir wa Chama cha Demokrasia Makini,mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022. 

Baadhi ya Waalikwa kutoka taasisi mbali mbali waliofadhili na kufanikisha mkutano wa  Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,wakiwa katika  hafla ya kukabidhi ripoti ya kamati maalun iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Rukia Kassim Ahmed (kutoka CUF),mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.