Monday, November 25

HABARI PICHA: Rais Dk Hussein Mwinyi afungua hospitali ya Wilaya ya Micheweni.

RASI wa Zanzibar na Mwenyeki wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikunjua kitambaa kuashiria ufunguzi wa hospitali ya Wilaya ya Micheweni, akiwa na Mama Mariyam Mwinyi na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa hospitali ya Wilaya ya Micheweni, kulia kwa Rais Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui na kushoto kwa Rais ni Mama Mariyam Mwinyi, wakiwa na viongozi wengine wa serikali katika uzinduzi huo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Mama Mariyam Mwinyi Mke wa Rasi, Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, wakipata maelezo juu ya moja ya wodi za kisasa za wagonjwa kutoka kwa Daktari Bedui Nassor Mbarouk, mara baada ya kuifungua rasi Hospitali ya Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RASI wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo ya kutoka kwa Dr.Mbwana Shoka wakati alipotembelea chumba cha upasuaji ndani ya Hospitali hiyo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipokea vifaa mbali mbali vya hospitali hiyo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Biashara za NMB Zanzibar Naima Said Shaame, wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RASI wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimia wananchi waliofika kupata huduma mbali mbali za matibabu, katika hospitali ya Wilaya ya Micheweni mara baada ya kufunguliwa kwake, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa gari ya kubebea wagonjwa katika Hospitali ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasha gari ya wagonjwa baada ya kuizindua na kuwakabidhi viongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Micheweni katika viwanja vya Shamemata, mara baada ya kufunguliwa kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar

WAZIRI wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Micheweni katika viwanja vya Shamemata, mara baada ya kufunguliwa kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)