SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid (kulia), akikunjua kitambaa kuashiria ufunguzi wa soko la wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni, kushoto ni katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ Issa Mahfoudh Haji, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar. SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa soko la wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni, akiwa na viongozi mbali mbali wa serikali ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar. SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid, akipokea sabuni ya mwani kutoka kwa mjasiriamali Mohamed Juma Haji, wakati alipokua akikagua shuhuli za wajasiaramali mara baada ya kulifungua rasmi soko la wajasiriamali lililoko Tumbe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar. SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid, akipata maeleozi juu ya ujenzi wasoko la wajasiriamali Tumbe, kutoka kwa Injinia Said Malik wa ZBA, wakati akikagua soko hilo baada ya kulifungua rasmi, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya Injia wa Ujenzi kutoka kikosi cha KM KM wakifuatilia kwa makini hutuba ya ufunguzi wa soko la wajasirimali Tumbe, mara baada ya kufungua kwake ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mpainduzi ya Zanzibar SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid, akizungumza na wananchi na wajasiriamali wa Tumbe, mara baada ya kulifungua rasmi kwa soko lao ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya wananchi kutoka Maeneo mbali mbali ya shehia ya Tumbe Wilaya ya Micheweni, wakifuatilia ufunguzi wa soko la wajasiriamali Tumbe, ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mpainduzi ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share