Friday, January 17

HABARI PICHA: Uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar viwanja vya Kisonge

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadalla, Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) wakiwa katika Uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar katika viwanja vya Mnara wa Mwembekisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[PICHA NA IKULU]
Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg,Rehema Sombi Omar (kulia)alipokuwa kimkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi kutoa salamu zake katika hafla ya Uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar katika viwanja vya Mnara wa Mwembekisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo, katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadalla (katikati).[PICHA NA IKULU]
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akitoa salamu na nasaha zake kwa vijana UVCCM kuwataka wawe na tahadhari kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO 19 katika Uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar katika viwanja vya Mnara wa Mwembekisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo, ni katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadalla, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) .[PICHA NA IKULU]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[PICHA NA IKULU]
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed (Kawaida)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnaranwa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[PICHA NA IKULU]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi picha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Katibu wa CCM Wilaya ya Malinyi Ndg.Abdulhamid Hamad katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni katika katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida),[Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Katibu wa CCM Wilaya ya Malinyi Ndg.Abdulhamid Hamad katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed (Kawaida),[Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,akijumuika na Viongozi mbali mbali wa UVCCM, akiwepo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi(wapili kushoto) ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar ni katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu.